PDA

View Full Version : Serikali yaongeza bajeti ya utafiti



Mpita Njia
02-20-2009, 12:49 PM
Katika kikao chake na Wizara ya Viwanda, Bishara na masoko, rais Kikwete ametangaza kuwa serikali itaongeza fedha kwa ajili ya utafiti katika bajeti yake ijayo. Kiwango hicho kitakuwa ni asilimia moja ya Pato la taifa kwa mwaka