View Full Version : Dr. Dau kupelekwa Bandari kuiokoa?
mwanakijiji
02-23-2009, 05:27 PM
Vyanzo vyetu muhimu vinadokeza kuwa kutokana na hali mbaya inayoendelea Mamlaka ya Bandari kuna kila dalili kuwa Mkurugenzi wa NSSF Dr. Ramadhani Dau ni miongoni mwa majina yanayotajwa kuweza kwenda kuchukua nafasi ya kuliokoa shirika hilo la Bandari ambalo kwa siku za hivi karibuni limejikuta katika matatizo makubwa.
Mwingine ambaye anaweza kupelekwa huko ni Bw. David Mattaka aliyekuwa ATCL. Hata hivyo kuna majina mengine ambayyo pia yanatajwa na ambayo yanaonekana kuvutia heshima kwa watumishi wa bandari..
"Dr. Dau ana nafasi kubwa na kwa kweli yeye mwenyewe yuko tayari kwa uamuzi huo endapo Rais Kikwete ataamua kufanya mabadiliko huko Bandari" kimetuambia chanzo chetu.
Kuhusu Mattaka chanzo chetu kimedokeza kuwa "sasa hivi Rais anatafuta mahali pa kumuweka rafiki yake yaan Bw. Mattaka. Hawezi kumtoa na kumuacha apigwe na jua na hiyo ndiyo sababu pekee Mattaka bado yuko ATCL".
Mpita Njia
02-23-2009, 06:02 PM
Hivi kumbe Bandari ina hali mbaya?
mwanakijiji
02-23-2009, 06:53 PM
Hivi kumbe Bandari ina hali mbaya?
mzee huko hatujakugusa tu, ila tunafanyia kazi kwenye toleo letu la Cheche wiki hii..
mzee huko hatujakugusa tu, ila tunafanyia kazi kwenye toleo letu la Cheche wiki hii..
Wallah ninangojea kwa hamu!!, siyo kwa kutaka kusafisha kinywa bali kusikia ya hukoo maana pamekuwa kimya mno moshi ukifukuta tu, hebu sasa tuonyeshe huo moto ulofichama:D
dickabudi
02-24-2009, 04:37 PM
Home National Taifa Zanzibar rejects "Smart Card" ID project
Zanzibar rejects "Smart Card" ID project
1 2 3 4 5 (0 votes) Written by Daily News
Sunday, 22 February 2009
Authorities in Zanzibar are against the proposed technology of using smart cards as national identification cards. They also say the project is too expensive and that they were not involved fully in the project. Both Minister for State- Office of the Zanzibar President Mr Suleiman Othman Nyanga and the Zanzibar Identity Card Registration Office Director Mr Mohammed Juma Ame, refuted reports that Zanzibar identity card office was among the dropped tender applicants for the project . .?These are speculations. We did not apply for the union ID project, but we are against the smart card idea,? Minister Nyanga who is responsible for registration of Zanzibaris, told the 'Sunday News'.
He said that he had invited the Union Government (Home Affairs ministry) in 2006/2007 to come and study the ?quality of Zanzibar IDs? in order to get experience.Mr Ame said that his office was against the idea of using smart cards because the cards are ?not durable especially when folded or in contact with water?. ?We have attended at least two consultative meetings about the process of Union IDs.
We advised them to drop the idea of using smart cards because they are four-times the cost of other IDs such as IDs in Zanzibar, Kenya, Israel and other developed countries,? Mr Ame told the 'Sunday News'. Mr Ame said that two dimensions barcode (2D-barcode) identity cards such as the ones used in Zanzibar were sufficient for Tanzanians. ?What we need to store on the cards are specifically fingerprint and a photo of each adult.
Smart cards can store more information but it is unnecessary for majority of Tanzanians especially those in rural areas,? Mr Ame added. He said his office with experts from a company in Israel had technology capable of data storage and production. He, however, refrained from applying for the tender because of their small capacity in data collection.
?Our data collection is limited to about a million population while the Union IDs project is for half the population of Tanzania,? he noted. The 'Sunday News' learned that the University of Dar es Salaam (UDSM) in collaboration with Tanzania Bureau of Standards (TBS) conducted a feasibility study and advised the Home ministry to first work with local institutions and get advice on the process of IDs production.
The UD and TBS teams had proposed to the ministry to work or seek experience from institutions dealing with registration such as National Electoral Commission (NEC), Immigrations, RITA (Registration, Insolvency, and Trusteeship Agency), and Zanzibar Identity Cards Registration Office. Mr Ame said that the ministry did not consider the UD and TBS recommendation. Instead, it shifted the task to Gotham International Limited consultants who ?probably advised them to float international tender?.
Ach-F
02-26-2009, 12:34 AM
Bado rais ana hamu ya Dr. Dau? Anahitaji Watanzania wangapi wafe ili rais atambue kwamba hii takataka ni ya kwenda jalalani!
Mpita Njia
02-26-2009, 09:05 PM
Bado rais ana hamu ya Dr. Dau? Anahitaji Watanzania wangapi wafe ili rais atambue kwamba hii takataka ni ya kwenda jalalani!
Ah! Haya yepi tena, kwani Dau amewahi kuua?
Ach-F
02-27-2009, 09:44 PM
Ah! Haya yepi tena, kwani Dau amewahi kuua?
Au! Watoto waliokufa Tabora hawakuwa kwenye Jengo la NSSF? Au ulikuwa unahitaji ashike bunduki kama Dito?
Mpita Njia
02-28-2009, 11:17 AM
Au! Watoto waliokufa Tabora hawakuwa kwenye Jengo la NSSF? Au ulikuwa unahitaji ashike bunduki kama Dito?
Jamani, hamsahau? Yaliyopita si ndwele...
Ach-F
02-28-2009, 02:52 PM
Mpita Njia
Wanaoweza kusahau ni wale wanaonufaika. Tunahitaji mwelekeo mpya wa kuona kwamba taratibu tulizojiwekea zinafanya kazi na hakuna anayechukua advantage kufilisi hazina ya walipa kodi. Pamoja na hayo hivi kweli NSSF pamoja na biashara zao za karibu na mwizi mkuu kama Manji et al anaweza kweli kuhimili na kusimamia bandari? Kwa mimi NSSF kunanuka na sijui nani kweli amaweza kuondoa hiyo harufu kwa sababu jemedari bado anasuasua.
Mpita Njia
02-28-2009, 04:19 PM
Hivi hatujafahamu kuwa nchi hii imeshatekwa?
Ach-F
02-28-2009, 06:35 PM
Hata kama nchi imeuzwa inabidi tuwaambie ukweli ili wafahamu kwamba ufedhuli wao tunaufahamu. Hawa vibaka itafika siku watalipa si unaona yanayotokea Malawi na nchi nyingine. Hii rekodi ya kuwaambia ukweli itatusaidia siku za usoni. KAZA BUTI TU.
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.