View Full Version : Mabadiliko uyapendayo
mwanakijiji
11-10-2008, 08:16 AM
Yawezekana umeona kitu kwenye forum na ambacho ungependa tukifanyie mabadiliko, lugha au mpangilio tupe ushauri kwa sababu bado tuko katika matengenezo. Hii ni forum yetu hivyo mawazo yetu ni muhimu sana.
mwafrika wa kike
11-11-2008, 05:18 PM
Yawezekana umeona kitu kwenye forum na ambacho ungependa tukifanyie mabadiliko, lugha au mpangilio tupe ushauri kwa sababu bado tuko katika matengenezo. Hii ni forum yetu hivyo mawazo yetu ni muhimu sana.
mwanakijiji,
forum imetulia sana. Ni mwanzo mzuri huu kwa kweli.
Good job
bulesi
01-13-2009, 04:44 PM
Current issue ya CHECHE haisomeki vizuri sijui ni kwenye screen yangu tu au vipi? Nimejaribu kuprint hata hivyo printing yake haitoki clearly kama issues za mwanzo; isije ikawa mafisadi wanasabotage!!
mwanakijiji
01-13-2009, 06:59 PM
Current issue ya CHECHE haisomeki vizuri sijui ni kwenye screen yangu tu au vipi? Nimejaribu kuprint hata hivyo printing yake haitoki clearly kama issues za mwanzo; isije ikawa mafisadi wanasabotage!!
mmh.. ngoja nicheki nione tatizo lililopo.. umeongeza ukubwa kwenye eneo la asilimia kuweka kwenye asilimia 100?
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.