View Full Version : Does Tanzania deserve to have Masha as Minister of Home Affairs?
Ach-F
02-24-2009, 12:51 AM
Hivi kweli tumeshindwa kupata waziri wa mambo ya ndani mwenye uwezo kuliko huyu Kijana ambaye anaonekana kutokufahamu umuhimu wa kazi aliyopewa?
Je, uswaiba na kujipendekeza ndiyo nyenzo? Kwa muda gani WTZ tutaendelea na upuuzi kama huu?

All EAR's :confused: na mimacho nimetoa!!!:eek: Sijui watu kama akina Mhe. Muhidin Kimario anajisikiaje kuona na kusikia haya pale ambapo yeye alipaogopa an kupaheshimu wakati wa enzi zake!!!
Baija Bolobi
02-24-2009, 04:06 PM
EBU TKUMBUSHANE MAWAZIRI WALIOPITA KATIKA WIZARA HII TUONE KAMA MASHA ANAWAFANANA
Chiligati, Mwapachu, Mrema, Natepe, Kimario, Mayagira, Twalipo, na wengine ongezeeni. Lakini mpaka hapa Masha haoni ndani.
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.