PDA

View Full Version : Jack Gotham ni nani?



pangamawe
02-24-2009, 08:49 AM
Who is this Jack Gotham? jana nimeona mahojiano ya Jack Gotham na ITV nikapatwa na mshangao na kujiuliza huyu Jack ni nani? Siamini kama kweli huyu ndiyo mwenyekiti wa wa kampuni ambayo ni consulting firm ya mradi wa vitambulisho vya taifa kwanza inaelekea yeye mwenyewe haina details za kazi itakayofanyika. Siamini kama ni yeye nadhani anawakilisha maslahi ya mafisadi kwenye huu mradi nyeti wa vitambulisho. Kama kuna anayemjua vizuri Jack Gotham atueleze, atupe cv yake.

jingo
02-24-2009, 09:32 AM
hata mimi nilipatwa na mshtuko kusikia hilo jina na hiyo kampuni..watanzania tunapaswa kuelezwa kuwa kuwa huyu JACK GOTHAM ni nani?kampuni hiyo imepewa kazi hiyo kwa vigezo gani?ilishindania tenda na kampuni gani?nani ni mmiliki?na wajumbe wa board ni wakina nani? na hiyo kampuni yao inauwezo na uzoefu gani katika kufanya kazi ya kuwa consulting firm wa mradi wa vitambulisho vya kitaifa?
kwani hivi sasa watanzania tumegundua mafisadi wanamtandao mkubwa na sana wa kutuibia sisi watanzania...richmond /dowans,epa-bot,bot-twin towers,radar/ndege ya rais,mikataba ovyo ya madini,cis,nk nk nk!

mwanakijiji
02-24-2009, 06:32 PM
Halafu kuna wakati ambapo TISS walimtangaza kuwa jamaa anajitambulisha kama mtumishi wa TISS lakini wao wakamkana..

Mpita Njia
02-25-2009, 09:52 AM
Halafu kuna wakati ambapo TISS walimtangaza kuwa jamaa anajitambulisha kama mtumishi wa TISS lakini wao wakamkana..

na walitangazz kwenye daily news, ndio ilikuwa lead story ya rais last week