View Full Version : hi all! INCOGNITO NIMEFIKA!
incognito
02-26-2009, 11:31 AM
hi all!
ningependa kujitambulisha katika jukwaa ili maridhawa,
ni matumaini yangu kutoa mchango wangu wa kimawazo katika kujenga na kukosoa kupongeza na hali kadhalika.
Asanteni wote kwa ushirikiano wenu mtakaonipa na asante pia kwa uongozi wa mwanakijiji forums!
Karibu sana Inco.(Mzee Punch) Jisikie uko nyumani.
outlier
02-26-2009, 03:30 PM
hi all!
ningependa kujitambulisha katika jukwaa ili maridhawa,
ni matumaini yangu kutoa mchango wangu wa kimawazo katika kujenga na kukosoa kupongeza na hali kadhalika.
Asanteni wote kwa ushirikiano wenu mtakaonipa na asante pia kwa uongozi wa mwanakijiji forums!
karibu, tumeku-recognize!
mwanakijiji
02-26-2009, 04:16 PM
hi all!
ningependa kujitambulisha katika jukwaa ili maridhawa,
ni matumaini yangu kutoa mchango wangu wa kimawazo katika kujenga na kukosoa kupongeza na hali kadhalika.
Asanteni wote kwa ushirikiano wenu mtakaonipa na asante pia kwa uongozi wa mwanakijiji forums!
Karibu sana incognito.. karibu kijijini mahali ambapo wanakijiji wenzako tumetangulia tu.. tunasubiri michango yako yote ya aina mbalimbali!!
hi all!
ningependa kujitambulisha katika jukwaa ili maridhawa,
ni matumaini yangu kutoa mchango wangu wa kimawazo katika kujenga na kukosoa kupongeza na hali kadhalika.
Asanteni wote kwa ushirikiano wenu mtakaonipa na asante pia kwa uongozi wa mwanakijiji forums!
Mchuma janga hula na nduguze!! Karibu sana, hili ni jamvi la kuanika na kayasema yote ya haki na halali, yasiyotendewa haki yanachambuliwa, uovu, maonevu na hata busara bayana bila kificho:p KARIBU - WELCOME - BIENVENIDO - "TSENA - tswana"
Mpita Njia
02-26-2009, 08:54 PM
hi all!
ningependa kujitambulisha katika jukwaa ili maridhawa,
ni matumaini yangu kutoa mchango wangu wa kimawazo katika kujenga na kukosoa kupongeza na hali kadhalika.
Asanteni wote kwa ushirikiano wenu mtakaonipa na asante pia kwa uongozi wa mwanakijiji forums!
Na sie tunashukuru kwa ushirikiano wako, karibu sana
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.