mwanakijiji
02-27-2009, 06:25 PM
Suala la Dowans bado linaendelea kusumbua vichwa vya watawala wetu. Kama tulivyosema kwenye mojawapo ya matoleo yetu ya Cheche kuwa vyovyote itakavyokuwa Dowans lazima walipwe. Juhudi hizo zinazidi kuongezeka siku hizi kiasi kwamba imefikia mahali watawala wanazungumza mambo ambayo ni ya kihalifu!
Lakini yote haya yameanzishwa na Mkataba wa Richmond. Si wote wamepata nafasi au bahati ya kuusoma. Hivyo tunawapatia mkataba huo hapa ujisomee mwenyewe na hasa kukuangaliza kwenye vipengele vya 15:5 na 15:14
Pamoja na huo tunaambatanisha articles of association za kampuni ya Richmond huko Marekani.