Mpita Njia
11-10-2008, 11:01 AM
Mmoja wa viongozi wa DARUSO (mabye hakujitambulish kwangu) amenipigia simu sasa hivi akinitaarifu kuwa wameanza mgomo wao rasmi leo. Ikumbukwe kuwa walisema mgomo huo hautakuwa na kikomo.
Pia kuna habari (ambazo ninazifuatilia) kuwa wananfunzi wengine wataandamana leo kuelekea Bodi ya Mikopo. haya yote ni katika harakati zao za kupinga sera ya mikopo wanayodai kwua inawakandamiza watotow a wazazi masikini