PDA

View Full Version : Hodi

edo
03-01-2009, 09:41 AM
Salaam wote,

Ni faraja kuona kuwa wapo watu ambao wamejitolea kufanya kama haya ya mwanakijiji.Kweli hizi ni cheche zisizohitaji kuzimwa bali kuendelezwa.

Na tuendeleze cheche hizi kwa umoja wetu ili siku moja Tanzania iwe Tanzania inayostahili kuwa.

Nashukuru kukaribishwa.

mwanakijiji
03-01-2009, 06:52 PM

Karibu sana Edo!! karibu utulie kijijini!!

swala
03-04-2009, 06:20 PM
kwa kweli hili jarida la cheche linatu habarisha

mwanakijiji
03-04-2009, 07:28 PM
kwa kweli hili jarida la cheche linatu habarisha

Karibu sana swala.. ni matumaini yetu mnalisambaza na kuwaalika watu wengine nao wajiandikishe ili walipate kwenye emails zao.

Kepa
03-06-2009, 04:10 PM
Edo, nimekusoma kabisa. Karibia kijijini hapa kila siku utakuwa wa Kwanza kukisoma Kijarida hicho cha cheche firiiiiii