View Full Version : News Alert: Mahojiano na Waziri Ngeleja
mwanakijiji
03-03-2009, 08:17 AM
Tumepata nafasi ya kuzungumza kwa kina na Waziri wa Nishati na Madini Mhe. William Ngeleja hususan suala la majenereta ya umeme ya Dowans. Mahojiano hayo yatarusha ndani ya saa moja lijalo. Stay tuned...
Mwanakijiji,
Off the topic ... Naona serikali ina mpango wa kukufanya uwe msemaji wa serikali na ndiyo maana Bwana Ngeleja amekomaa na kukuomba ufunike funike ili wanakijiji wa hapa pamoja na kule jamii na makala zako za kwenye magazeti. Subiri kupokea barua ya kuombwa kuwa msemaji wao.
Asante kwa mahojiano mazuri na kijana ameonekana kujitahidi kujieleza na kufafanua. Kauli zake za kukubembeleza utuelimishe zaidi na hasa alipokufananisha na kiongozi wa dini ambaye ana wafuasi wengi limenifanya nishituke sana na inawezekana ni avenue ya wao kutaka hoja yao ikubalike. Alipokulinganisha na kiongozi wa dini, nilienda mbali na kuona kwamba amepata hisia kuwa kila unachokisema ama kukiandika kwenye magazeti huwa kinakubalika na kwamba una wafuasi wengi na hivyo moto wa wao kupingwa utakuwa ni mdogo sana iwapo na wewe utakubaliana nae.
Nilikuwa na maswali ya ziada machache sana:
1. Kama ununuzi wa mitambo ya Dowans ni opportunity na kwamba siyo swala la lazima kwa kuhofia mgao, kwanini bado tusirudi kwenye mitambo mipya?
2. Amesema kununua mitambo inaweza kuchukua zaidi ya miezi 20, hivi hiyo mitambo inatoka Mars ama inatoka hapa hapa duniani? Kwa uelewa wangu unapotangaza tender ya kimataifa unatakiwa kutoa muda wa kutosha kabla ya kuifunga. Lakini pindi supplier akishapatikana haendi kuanza kuunda immediately mitambo hiyo bali anaenda kununua ama ku-order kwa manufacturer ambaye nina uhakika anaweza kuwa nayo kwenye stock na iko tayari kwa kuuzwa. Je, uzoefu wa miezi 20 mpaka 24 yeye kaupata wapi?
3. Kaongelea bei ya mitambo mipya kwamba iko around shilingi bilioni 90, yeye kapata wapi bei hizo maana report ya Dr. Mwakyembe ilitoa bei tofauti kabisa na bei aliyoisema Mh. Ngeleja. Kule JamiiForum kuna mtu kasema kwa shilingi bilion 70 tunaweza kupata mitambo mipya ya MW 200, naomba wenye data za uhakika za bei watupatie hapa.
4. Huyo Mjerumani aliyefanya tathmini ya mitambo na ku-claim kwamba ina uwezo wa ku-run kwa miaka 10 bila kufanyiwa service yoyote, suppose mitambo hiyo ikija kufa baada ya miaka 5, tutakuwa na nafasi ya kumshitaki? Ama kazi hiyo ilifanywa kienyeji tu na hivyo tukipata hasara yoyote yeye hatahusika na hatuwezi kwenda kumdai kwamba ametuingiza mkenge? Kama kuna any legal agreement kati ya consultant na Tanesco/serikali ambayo iko binding kwamba mitambo ikibuma before 10 yrs then itabidi tumkabe atulipe hasara, sina tatizo. Lakini lazima tufanye comparison na mitambo mipya kwamba inaweza ku-run kwa miaka mingapi bila ya kufanyiwa service kwa kuwa tayari hii ya Dowans tumeambiwa inaweza ku-run for 10 yrs.
Bado ninarudia tena kusikiliza na kutafakari hoja za Ngeleja na nitakuja na maswali ya ziada.
mwanakijiji
03-03-2009, 05:06 PM
Mwanakijiji,
Off the topic ... Naona serikali ina mpango wa kukufanya uwe msemaji wa serikali na ndiyo maana Bwana Ngeleja amekomaa na kukuomba ufunike funike ili wanakijiji wa hapa pamoja na kule jamii na makala zako za kwenye magazeti. Subiri kupokea barua ya kuombwa kuwa msemaji wao.
usiwe na wasiwasi, ndiyo maana nimempa nafasi mwenyewe asikike.. na wakinipa usemaji wa serikali nadhani nitaweza kufanya vizuri zaidi kuliko hawa ndugu zangu. Alimradi tu nisiwe sehemu ya mipango ya kifisadi!
Asante kwa mahojiano mazuri na kijana ameonekana kujitahidi kujieleza na kufafanua. Kauli zake za kukubembeleza utuelimishe zaidi na hasa alipokufananisha na kiongozi wa dini ambaye ana wafuasi wengi limenifanya nishituke sana na inawezekana ni avenue ya wao kutaka hoja yao ikubalike. Alipokulinganisha na kiongozi wa dini, nilienda mbali na kuona kwamba amepata hisia kuwa kila unachokisema ama kukiandika kwenye magazeti huwa kinakubalika na kwamba una wafuasi wengi na hivyo moto wa wao kupingwa utakuwa ni mdogo sana iwapo na wewe utakubaliana nae.
Sidhani kuwa ni mimi kama mimi bali mimi kama mwakilishi wa fikra mpya za mabadiliko. Kwa sababu upinzani mkubwa unakuja kutoka kwa watu wenye mitizamo kama ya kwetu hapa.
Nilikuwa na maswali ya ziada machache sana:
1. Kama ununuzi wa mitambo ya Dowans ni opportunity na kwamba siyo swala la lazima kwa kuhofia mgao, kwanini bado tusirudi kwenye mitambo mipya?
nadhani amelijibu hilo japo kwa maneno mengi.
2. Amesema kununua mitambo inaweza kuchukua zaidi ya miezi 20, hivi hiyo mitambo inatoka Mars ama inatoka hapa hapa duniani? Kwa uelewa wangu unapotangaza tender ya kimataifa unatakiwa kutoa muda wa kutosha kabla ya kuifunga. Lakini pindi supplier akishapatikana haendi kuanza kuunda immediately mitambo hiyo bali anaenda kununua ama ku-order kwa manufacturer ambaye nina uhakika anaweza kuwa nayo kwenye stock na iko tayari kwa kuuzwa. Je, uzoefu wa miezi 20 mpaka 24 yeye kaupata wapi?
sidhani kama umemuelewa hapa mkuu, jaribu kumsikiiliza tena. Au mimi nitakuwa nimemiss sehemu hiyo.
3. Kaongelea bei ya mitambo mipya kwamba iko around shilingi bilioni 90, yeye kapata wapi bei hizo maana report ya Dr. Mwakyembe ilitoa bei tofauti kabisa na bei aliyoisema Mh. Ngeleja. Kule JamiiForum kuna mtu kasema kwa shilingi bilion 70 tunaweza kupata mitambo mipya ya MW 200, naomba wenye data za uhakika za bei watupatie hapa.
Hii ni point nzuri.
4. Huyo Mjerumani aliyefanya tathmini ya mitambo na ku-claim kwamba ina uwezo wa ku-run kwa miaka 10 bila kufanyiwa service yoyote, suppose mitambo hiyo ikija kufa baada ya miaka 5, tutakuwa na nafasi ya kumshitaki? Ama kazi hiyo ilifanywa kienyeji tu na hivyo tukipata hasara yoyote yeye hatahusika na hatuwezi kwenda kumdai kwamba ametuingiza mkenge? Kama kuna any legal agreement kati ya consultant na Tanesco/serikali ambayo iko binding kwamba mitambo ikibuma before 10 yrs then itabidi tumkabe atulipe hasara, sina tatizo. Lakini lazima tufanye comparison na mitambo mipya kwamba inaweza ku-run kwa miaka mingapi bila ya kufanyiwa service kwa kuwa tayari hii ya Dowans tumeambiwa inaweza ku-run for 10 yrs.
swali zuri sana
Bado ninarudia tena kusikiliza na kutafakari hoja za Ngeleja na nitakuja na maswali ya ziada.
sawasawa.. na sisi tunaanda msimamo wetu.
Ach-F
03-04-2009, 01:36 AM
Stupidity is an art. When you play you better know whom you play with.
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.