PDA

View Full Version : msaada tafadhari ..... mwanakijiji.com

Keil
03-10-2009, 10:22 AM
Admin/Moderators/Mwanakijiji,

Leo ni siku ya pili, kila nikitaka kuingia mwanakijiji.com ninajikuta ninapelekwa moja kwa moja http://www.forums.mwanakijiji.com/ na hivyo kama kuna news zozote ambazo zinakuwa ziko kwenye main page ninashindwa kuzisoma.

Je, tatizo liko kwangu ama ni settings mpya huko kwenu? Kama tatizo liko kwangu naomba nielekezwe namna ya kufanya ili niweze ku-access mwanakijiji.com maana si ajabu naweza kuwa nilibofya kitu fulani bila kujijua na nikawa nimeharibu mambo.

dRU
03-10-2009, 01:22 PM
Gonga kwenye BOX Jekundu kama ilivyoonyesha katika attachment hii ili urudi HOME .. nina hakika tatizo lako litakuwa limekwisha. Ama angalia kwenye Address windows ya browser yako labda inasoma: http://www.forums.mwanakijiji.com/index.php na kam ahivi ndivyo basi badili na kuweka : http://www.mwanakijiji.com/en/home.php

mwanakijiji
03-10-2009, 04:34 PM
Keil.. naona dRU kakupa maelezo ya kutosha.. Asante!

Keil
03-10-2009, 06:41 PM
dRU na Mwanakijiji

Asanteni sana kwa maelezo yenu, nimegundua makosa yangu. Sasa mambo ni sawa.

administrator
03-16-2009, 06:09 PM
Admin/Moderators/Mwanakijiji,

Leo ni siku ya pili, kila nikitaka kuingia mwanakijiji.com ninajikuta ninapelekwa moja kwa moja http://www.forums.mwanakijiji.com/ na hivyo kama kuna news zozote ambazo zinakuwa ziko kwenye main page ninashindwa kuzisoma.

Je, tatizo liko kwangu ama ni settings mpya huko kwenu? Kama tatizo liko kwangu naomba nielekezwe namna ya kufanya ili niweze ku-access mwanakijiji.com maana si ajabu naweza kuwa nilibofya kitu fulani bila kujijua na nikawa nimeharibu mambo.

Kwa siku mbili tatu zilizopita http://www.mwanakijiji.com/ ilikuwa inadirect kwenye http://www.forums.mwanakijiji.com/index.php lakini sasa hivi tumeshabadilisha settings kuwa kama kawaida.

Ila kama ungeenda http://www.mwanakijiji.com/index.php ilikuwa inakupeleka moja kwa moja kwenye HOME PAGE bila matatizo.

Anyway, kwa kifupi, PROBLEM SOLVED!!

isskia
06-10-2009, 03:21 PM
Habari ya mchana Administrator, nimeomba access ya kuingia chumbani karibia siku ya tatu sasa wapi, vipi tatizo no la kwangu au ninini hasa, nilikutumia kupitia PM

mwanakijiji
04-02-2010, 08:35 AM
isskia.. I hope the problem was solved..