PDA

View Full Version : Happy birthday lawrence kego masha

dickabudi
03-11-2009, 10:59 AM
Wanakijiji

Mwaka 1970 Tarehe 11 Mwezi wa March ndipo Mh Lawrence Kego Masha alizaliwa, naungana na wanafamilia na wanakijiji kumtakia Waziri Lawrence Kego Masha heri na fanaka katika maisha yake

mwanakijiji
03-11-2009, 04:50 PM
Wanakijiji

Mwaka 1970 Tarehe 11 Mwezi wa March ndipo Mh Lawrence Kego Masha, naungana na wanafamilia na wanakijiji kumtakia Waziri Lawrence Kego Masha heri na fanaka katika maisha yake

Tunamwombea Mungu ampe maisha marefu yenye mwamko mpya wa kifikra; happy birthday bro!

Nurujamii
03-12-2009, 02:17 AM
Lakini mbona nasikia alizaliwa mwaka 1967?

Kasharu
03-12-2009, 10:55 AM
Kama ana uhakika na tarehe aliyozaliwa ni vizuri, japokuwa inawezakan tarehe aliyoambiwa na wazazi wake bila kuandikwa popote, hivyo kama wazazi wakisahau basi birthday yako inabadilika, mpaka hapo utakapokuwa na akili ya kuikalili mwenyewe. Uwezekano wa kuwa na birth certificate ni mdogo, atakuwa na affidavit.
Wazazi walio wengi uko vijijini, wanakumbuka tarehe za watoto kuzaliwa kulingana na misimu au matukio ya wakati ule. Happy birthday Bwana Mdogo Masha, maana kama umezaliwa mwaka 1970, wewe ni bwana mdogo tu.
Kama ni kweli umezaliwa mwaka 1970, umekulia maisha magumu, maana unaonekana umechoka ulinganisha na umri wako.
HAPPY BIRTHDAY TENA NA NAKUTAKIA MAISHA MAREFU SANA YENYE FURAHANA FIKRA ZA MAENDELEO SIYO ZA WIZI.

dickabudi
03-12-2009, 12:14 PM

Wazee Lawrence Kego Masha a.k.a LAU kazaliwa wakati Dr F Masha ameshakuwa Mbunge wa muda mrefu na amepewa kazi na Wizara ya Mambo ya Nje nchini Marekani kwa hiyo suala la kwamba Mzee F Masha Daktari wa Falsafa asijue mwaka,mwezi na tarehe ya mwanae kuzaliwa tutakuwa tunafanya utani
Mwanakiji unapafahamu fika nyumbani kwa Mzee Dr. F Masha pale Capri Point Mwanza hatua chache tu toka ilipo Ikulu ndogo katika jiji la Mwanza
Nafikiri tupate ukweli toka kwa Dr. F Masha, Katibu Mkuu UDP, Mbunge toka upinzani anyewakilisha Tanzania katika Jumuiya ya Africa Mashariki, Mhadhiri katika Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Augustino (SAUT) Mwanza, mpinzani wa dhati toka enzi za Mwalim Julius Kambarage Nyerere