View Full Version : Cheche Novemba 11 - Urafiki wenye mashaka
mwanakijiji
11-11-2008, 08:11 AM
Usikose nakala yako ya kijarida cha "Cheche" wiki hii.
Mpita Njia
11-12-2008, 01:08 PM
Nimefurahishwa na makala ya Mchungaji. Inaonekana kuna umuhimu wa kufanya ukaguzi wa kina wa akaunti ya EPA kwa miaka yote. Kwa sababu logically tu; kama tumegundua madudu haya kwa uchunguzi wa mwaka mmoja tu, je kwa miaka mingine itakuwaje?
mwanakijiji
11-12-2008, 03:57 PM
Mpita Njia sasa nani atakuwa tayari kuanzisha uchunguzi wa miaka hiyo mingine? Mimi nadhani tunapenda kuzugwa sana..
Mpita Njia
11-13-2008, 12:52 PM
mashaka yangu ni kuwa, baada ya kushindwa kuzuia shinikizo la kuwataka wachunguze, walijifanya wanachunguza kumbe wanaficha ushahidi unaowa-implicate sana. Ni kweli kuwa tunazugwa na kitakachotokea, tutakachokiona ni kama changa la macho tu
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.