jatropha
03-13-2009, 03:36 PM
Zipo taarifa kuwa katibu mwenezi wa CCM Mhe John Chiligati amewataka wafanyakazi wa magazeti ya Uhuru na Mzalendo yanayomilikiwa na CCM kujiorodhesha ili wagawiwe viwanja pembezoni mwa mji wa nfano Luguruni Kibamba wakati ambapo wa wananchi katika eneo hilo bado wanalalamikia utaratibu wa kupima viwanja katika maeneo yao pasipo kuwalipa fidia inayostahili.