PDA

View Full Version : Kikwete in London



mwanakijiji
03-15-2009, 09:03 PM
Rais Kikwete ameondoka leo kuelekea Uingereza kuhudhuria mkutano wa kujadili mtikisiko wa uchumi duniani hususan kuhusu athari yake kwa Afrika. Mkutano huo na Gordon Brown unatangulia mkutano wa nchi zilizoendelea zaidi duniani G-20.

mujuni
03-15-2009, 11:20 PM
Hivi si Karume na Shein wako huko? au ni mktn mwingine?naona jamaa hapendi kuwakilishwa especially inapokuwa abroad

Dua
03-16-2009, 01:36 AM
Ameenda Kujionyesha limbukeni huyo, ameshindwa kuona shilingi inatengemaa ataweza ya uchumi wa dunia. Kwanza Tanzania hata hawako katika nchi zilizoorodheshwa katika kundi la kwanza na la pili. Afrika wamewapa makaburu sasa kimbele mbele chake cha kwenda kufuja pesa ya walipa kodi kakipata wapi? Yeye ni kana Robert tu kukimbilia kufanya shopping tu na kushabikia Tottenham - hakwenda kuwaona leo walipowabamiza Villa?

Mpita Njia
03-16-2009, 11:10 AM
Hivi si Karume na Shein wako huko? au ni mktn mwingine?naona jamaa hapendi kuwakilishwa especially inapokuwa abroad

Karume alienda kwenye mkutano wa wawekezaji na shein yuko ziarani Kagera