PDA

View Full Version : Hodi Kijijini

Sabode
03-17-2009, 07:37 PM
Heshima mbele wakuu.

Hodi hapa kijijini. Hope nitakutana na waungwana kujadili hili nalile ari mradi Tanzania itapona hilo mimi ndo lengo langu. Nakubali kukosolewa na kuelekezwa na kufunzwa pia .
Hope kuwa mengi nitajifunza hapa na pia nitachangia niloo nayo.
Bila shaka nimekaribishwa. Na ASANTE SAAAAAAANA

mwanakijiji
03-17-2009, 09:56 PM

Karibu kabisa na ujisikie uko kijijini mi casa, su casa!

Mpita Njia
03-23-2009, 08:17 PM
Karibu kabisa na ujisikie uko kijijini mi casa, su casa!

Umenikumbusha mbali na huu usemi

Sabode
07-14-2009, 06:08 PM
Mzee wa kijiji salam.
Ni siku nyingi nimekuwa nikijaribu kufungua chumba lakini sina ufunguo na kwenye room la mapicha pia sina unakuaje huko.
Naomba muongozo asante

mwanakijiji
07-14-2009, 10:59 PM
Mzee wa kijiji salam.
Ni siku nyingi nimekuwa nikijaribu kufungua chumba lakini sina ufunguo na kwenye room la mapicha pia sina unakuaje huko.
Naomba muongozo asante

tume ujumbe kwa PM kuelekea kwa 'administrator' na umuambie umri wako (haiwezi kuwa chini ya 18 au umri unaotambua utu uzima mahali ulipo. Na yeye bila ya shaka atakupatia ufunguo tu.