PDA

View Full Version : fisadi aliyejificha chini ya kapeti

dude
03-17-2009, 10:32 PM
unajau watu ukiwauliza haraka haraka wakutajie mafisadi wa tanzania,watakwambia chenge,mramba,mkapa,ana na wengine wengi kama akina mgonja lakini huwezi kuwasikia wakisema kingunge...jamani hyu kingunge yaani ni fisadi wa kutupwa na hapaswi kuacha akimalizia uzee wake salama,ni mwizi mkubwa..mradi wake wa packing na gate collection pale ubungo unaiibia serikali hela nyingi sana...huyu mzee lazima tutafute data zake tuziweke hadhalani....mwizi mkubwa.

mwanakijiji
03-18-2009, 12:42 AM

HIvi ilikuwaje hata akaupata ule mradi wa magari pale..