PDA

View Full Version : You be the judge...Uwezo wa Mtukufu Rais



Mchambawima
03-18-2009, 11:19 PM
Unaweza kujiuliza maswali mengi kuhusu Nafasi ya Rais wetu na maamuzi (kama kunyamaza kimya ni sehemu ya maamuzi) yake katika hali ya kisiasa nchini mintaarafu UWEZO WAKE KUONGOZA NA KUELEWA MAMBO.

Aisha of CNN asked President Kikwete a very simple question during the recent IMF meeting at the BOT Towers...Just listen how the president had to respond and make your own judgment.

http://www.changes-challenges.org/concluding-plenary

Dua
03-19-2009, 02:05 AM
Duh jamani hiyo ni aibu yaani rais mzima hajui nini cha kufanya, halafu bado anafikiri hilo swali ni la kijibu kama yuko darasani. Ndio matatizo tuliyojitakia. AIBU tupu.