PDA

View Full Version : CCM kuwakutanisha Mwakyembe na Rostam



mwanakijiji
03-20-2009, 07:35 PM
Sasa sijui itakuwaje huko.?

Akajase
03-20-2009, 08:40 PM
Ili Mwakyembe aonekane kama vile anavyojulikana kuwa si mtu wa kutafuna maneno hata katka mabo ya ubadhirifu mkuu kama ule onafanywa na Rostam na maswahiba zake lazima ashikile msimamo wake.
Akikosea tu, atachujuka zaidi ya Njeru Kasaka.
Zaidi ya yote hana sababu ya kuendelea kumlea mtu ambaye si mtanzania,mwizi wa mali za watanzania,kawadanyanga watanzania wa Igunga kujifanya mzaliwa wa huko hata kuwa mbunge wao,mchafu asiyesafishika bali anakazana kuwachafua wengine ili kama ikiwezekana wasioona vizuri waone kuwa yeye ni msafi.
yatosha,yatosha,yatosha. Harrison a kusema, "JIFWENE, NALOLI JIFWENE{Inatosha, kwa kweli inatosha.
Vikao vya kumzuia mti asiseme ukweli ili hali mwingine anaangamiza nchi na watu kuishi kwa katika umasikini uliotopea,havina maana kabisa.