View Full Version : Kikwete alipopokea dola Milioni 2 toka Oman
mwanakijiji
03-21-2009, 08:28 PM
Gazeti la Africa Confidential liliandika kwa kirefu..mengine ni kutokana na "vitoto vya nzi" ambavyo havituliiuko uarabuni..
Zilitolewa Aprili 2005
It was campaign funds for his election
Given by who else..? you guessed it
Kikwete threatened to sue over the report he never did na hivyo ukimya wake kuonesha kukubali kupokea
Dili ni kuwa favor itakuja kurudishwa baadaye na riba juu
wakati wa kurudisha favor ulipofika.. here comes Dowans! Now.. how do help our beloved President return the favor ili aoneshe uungwana?
Habari ndiyo hiyo!
Ach-F
03-22-2009, 12:37 AM
Kazi ya kuongoza imekuwa nzito na kila kukicha ni kushughulikia mmomonyoko wa utawala wa CCM. Je, Tanzania iko tayari kuona rais ambaye hafanyi kazi aliyopewa?
mwanakijiji
03-23-2009, 04:34 PM
Kazi ya kuongoza imekuwa nzito na kila kukicha ni kushughulikia mmomonyoko wa utawala wa CCM. Je, Tanzania iko tayari kuona rais ambaye hafanyi kazi aliyopewa?
Halafu unajua sisi tuna usahaulifu sana; tunafiri yote yanayotokea sasa ni kwa bahati mbaya au ni kama mkosi fulani hivi. Ukweli ni kuwa kile tulichopanda ndicho tunachovuna.
bulesi
03-23-2009, 06:37 PM
Utawala wa Kikwete unakuwa mgumu kwasababu wakati wa mchakato na mpaka uchaguzi wa Rais, muungwana na cronies wake walikuwa wanakusanya fedha left,right and centre bila kujua athari zake; sasa pay up time imefika wakina Rostam na Lowassa wanaulizwa je ahadi zenu vipi mtatekeleza? Inaelekea muungwana anaota kigugumizi na wapambe wanamuona amewarusha ndio maana wengine wanaona afadhali wamwage manyanga!!
Ach-F
03-24-2009, 02:09 AM
Mwanakijiji; Bulesi
The government does not have any credibility, lililobaki kwao ni kuuza mali na rasilimali za taifa na kutafuna pesa ya walipa kodi iliyobakia bila huruma.
Nitaomba radhi kwa wanakijiji hasa kwa kutumia kiingereza wakati ninfahamu fika kwamba wengi wetu tungependa kuongea kiswahili katika baraza hili la kijiji na hiyo haswa ndiyo fahari yetu sisi watanzania.
Baada ya kuomba radhi ninaingia moja kwa moja kutazama maana ya neno Uongozi (Leadership) na nikachukua hawa wanafalsafa wawili kuona mkingamo kati ya matamshi na uelewa wao kuhusu UONGOZI -
"Leadership Definition : Peter Drucker : The forward to the Drucker Foundation's "The Leader of the Future" sums up leadership : "The only definition of a leader is someone who has followers." To gain followers requires influence (see John Maxwell's definition below) but doesn't exclude the lack of integrity in achieving this. Indeed, it can be argued that several of the world's greatest leaders have lacked integrity and have adopted values that would not be shared by many people today."
"Leadership Definition : John C Maxwell : In the 21 Irrefutable Laws of Leadership, John Maxwell sums up his definition of leadership as "leadership is influence - nothing more, nothing less." This moves beyond the position defining the leader, to looking at the ability of the leader to influence others - both those who would consider themselves followers, and those outside that circle. Indirectly, it also builds in leadership character, since without maintaining integrity and trustworthiness, the capability to influence will disappear. "
Nina hakika katika mnyambulisho wa semi hizo hapo juu tunapata kuelewa ni jinsi gani ya kukabili haya ambayo yapo mbele yetu kwenye UONGOZI wa nchi na, si wa awamu ya NNE tu bali tangu awamu ya KWANZA ya Mwalimu Nyerere. Nimeleta uchambuzi huu hapa kijijini ili tuweze kuchangia zaidi na hasa kwenye hii mada ya JK na yote yanayojiri:cool:
Ach-F
12-30-2009, 11:14 AM
Leaders dodge to 'show' wealth
, 29th December 2009
[size=3MANY leaders have not declared their assets and liabilities to the Public Leaders Ethics Secretariat, it was announced in Dar es Salaam yesterday. According to the Secretariat, tomorrow is the deadline for submission of the declaration forms. The Secretariat Investigation Officer, Mr Salvatory Kilasara, said until yesterday 1,600 public leaders out of 7,000 representing 23 per cent only had returned the declaration forms. "Stern disciplinary measures are going to be taken against those who will fail to meet the deadline," he said.
The Public leadership Code of Ethics Act of 1995 requires public leaders to declare and register their assets in the relevant register managed and overseen by the Secretariat. However, it is on record that few leaders declared their wealth, making it difficult to trace aspects of corruption and abuse of office during and after leaving public office. The current efforts to enforce accountability and transparency in public offices comes at a time when the government is preparing a bill for the law seeking political leaders to keep away from business.
"We hope more leaders will turn out before tomorrow's deadline. We have been receiving many forms during the last few days," Mr Kilasara said. He said only those with valid reasons for failure to beat tomorrow's deadline would be entertained by the Secretariat.[/size]
Viongozi wetu wanafahamu hakuna mtanzania yoyote atakayewafanya kitu. Kila mwaka ni utumbo ule ule wanatishia tu na kupiga porojo. Kama kweli wako serious waanze na JK kwa kusema mali zake zote na share za familia yake zote.
Ng'wana Diyu
12-30-2009, 12:09 PM
Nashukuru Mwanakijiji kwa post hii. Inawezekana ukatusaidia wengine ambao hatukubahatika kuisoma hiyo article ya Africa Confidential ya mwaka 2005?? Itatusaidia kuchagiza hoja ya kumuomba huyu mtani wangu aachie ngazi apumzika tujaribu na mwingine.
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.