PDA

View Full Version : News Alert: JF down - Stay tuned

mwanakijiji
11-11-2008, 07:53 PM
Mtandao wa JamiiForums uko chini kwa wakati huu. Msishtuke siyo vitendo vya mafisadi bali katika kufanya matengenezo ya kawaida kulitokea kosa kidogo la kiufundi (kama kupigwa shoti ya umeme) na hivyo kusababisha forum kuondoka kwa muda. Mafundi waliokubuhu wa JF wakiongozwa na yule "asiyeonekana" wako kazini sasa hivi kuhakikisha kuwa inarejea ndani ya kama nusu saa ijayo.

Tutaendelea kuwapasha maendeleo yake.

Tuko Pamoja!

mchukia fisadi
11-11-2008, 08:47 PM

Mwanakijiji asante kwa kutuhabarisha maana baadhi tumeshangaa sana nini kimetokea

mwanakijiji
11-11-2008, 09:30 PM
Yeah bado inachukua muda lakini mambo yatatengemaa muda si mrefu... Ni mojawapo ya matatizo ambayo yanazikumbnga hizi forums zetu za php..

Mpita Njia
11-12-2008, 01:45 PM
Kama si huku sijui tungepataje taarifa hiz. Thanks Mkuu mwanakijiji