PDA

View Full Version : Hodi Kijijini

Mantaleka
03-26-2009, 10:26 AM
Heshima kwenu wote.
Ni mategemeo yangu kuwa hapa kijijini nitajifunza mengi na kushirikiana nanyi kujadili yana yotusibu, naomba niwe mmoja wenu.
Tatizo kubwa linalo nikuna kichwa na sijui lita tatulika vipi, ni kiini macho cha serikali za mitaa, halmashauri za miji na Serikali kuu, hakuna mtiririko unao eleweka hapa, nionavyo mimi hapa kila mtu kivyake vyake tu na hapa ndiyo msingi wa matatizo yote, uhalifu, elimu duni na usanii wote unao endelea. Nitajipanga vizuri kuelezea hili na nitalileta likiwa kamili hivi karibuni.
naomba nikaribishwe kijijini.

mwanakijiji
03-26-2009, 04:31 PM

Karibu sana kijijini, na ujisikie hasa uko kijijini. Watoto wanafukuza kuku huko nje karibu..

outlier
03-27-2009, 03:50 PM
Heshima kwenu wote.
Ni mategemeo yangu kuwa hapa kijijini nitajifunza mengi na kushirikiana nanyi kujadili yana yotusibu, naomba niwe mmoja wenu.
Tatizo kubwa linalo nikuna kichwa na sijui lita tatulika vipi, ni kiini macho cha serikali za mitaa, halmashauri za miji na Serikali kuu, hakuna mtiririko unao eleweka hapa, nionavyo mimi hapa kila mtu kivyake vyake tu na hapa ndiyo msingi wa matatizo yote, uhalifu, elimu duni na usanii wote unao endelea. Nitajipanga vizuri kuelezea hili na nitalileta likiwa kamili hivi karibuni.
naomba nikaribishwe kijijini.

karibu sana. hiyo serikali kuu ya hapa kijijini au unaongelea bongotz ama nyc?

Mantaleka
03-27-2009, 06:47 PM
Naongelea Bongotz, nimejaribu kwa ukereketwa wangu wa maendeleo hapa bongo, lakini nimekumbana na hizo serikali zetu hapa, tabu kweli kweli, !

mwanakijiji
04-01-2009, 04:52 PM
Naongelea Bongotz, nimejaribu kwa ukereketwa wangu wa maendeleo hapa bongo, lakini nimekumbana na hizo serikali zetu hapa, tabu kweli kweli, !

Ni matatizo gani uliyokutana nayo?

Akajase
04-02-2009, 06:31 PM
Heshima kwenu wote.
Ni mategemeo yangu kuwa hapa kijijini nitajifunza mengi na kushirikiana nanyi kujadili yana yotusibu, naomba niwe mmoja wenu.
Tatizo kubwa linalo nikuna kichwa na sijui lita tatulika vipi, ni kiini macho cha serikali za mitaa, halmashauri za miji na Serikali kuu, hakuna mtiririko unao eleweka hapa, nionavyo mimi hapa kila mtu kivyake vyake tu na hapa ndiyo msingi wa matatizo yote, uhalifu, elimu duni na usanii wote unao endelea. Nitajipanga vizuri kuelezea hili na nitalileta likiwa kamili hivi karibuni.
naomba nikaribishwe kijijini.

Karibu sana Mantaleka. tena si kijiji tu tu maana uliisha fika siku nyingi ukayaona na kujifunza ya hapa kijijini; bali nakukaribisha zaidi kwenye jamvi. Ni nidhamu aliyotufundisha Baba na Babu akasisitizia, anapokuja mtu anyekuzidi umri basi umpishe jamvini halafu wewe unakalia mbachao. Ili anapotoa maneno yake ya hekima atoe ilihali anafuraha nafsini mwake.
KARUBU KATIKA JAMVI nafasi tumekuwekea. ni hishima. hatuondoki tupo kuendelea kuyajadili yanayotuzunguka hapa kijijini.