mwanakijiji
03-26-2009, 04:48 PM
Gazeti la Amani
http://www.globalpublisherstz.com/uploads/posts/thumbs/1238047535_mange1.jpg
http://www.globalpublisherstz.com/uploads/posts/thumbs/1238047535_mange5.jpg
Kauli ya hivi karibuni ya mwanadada aliyewahi kushiriki na kuandaa mashindano ya urembo nchini, Mange Kimambi ?MK? ya kwamba yeye ni binti wa kiislam imezua mjadala mzito huku baadhi ya watu wanaomjua wakijiuliza kama kweli mlimbwende huyo ana sifa hiyo
Wakiongea na Amani katika nyakati tofauti, watu hao waliojitambulisha kwamba wanamjua vizuri Mange walidai kuwa, binti huyo amekuwa akifanya vitendo vingi vinavyomfanya akose sifa haswa ya kuitwa mtoto wa kiislam.
Walisema kwamba, hawakatai kwamba imani yake ni ya dini ya kiislamu, lakini wakaweka wazi kuwa, uislamu wake huenda ukawa wa jina tu kwani matendo yake mengi hayaendani na maadili ya dini hiyo.
?Mange namjua vizuri sana kiasi kwamba, nilicheka kidogo niliposikia kuwa anasema yeye ni binti wa kiislam. Kweli Mange ni muislam lakini binti gani huyu wa kiislam ambaye ni mchafu kimatendo??alihoji msichana mmoja aliyewahi kushiriki mashindano ya u-miss aliyejitambulisha kwa jina moja la Moureen.
Aliongeza kwa kusema kuwa, Mange katika siku za nyuma alianzisha ?Blog? yake aliyoipa jina la www.mangekimambi.blogspot.com na kumporomoshea matusi ya nguoni aliyekuwa Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Channel 5, Teddy Kalonga ?TK? kitendo ambacho ni kinyume na maadili ya dini ya kiislam.
?Eti anasema yeye binti wa kiislam, binti gani wa kiislam ana mdomo mchafu vile? Anatukana kama hana akili nzuri, kimsingi anatakiwa kubadilika, ili aweze kuwa binti wa kiislam aliyekamilika,? alisema mrembo huyo.
Aidha, baadhi ya watu waliobahatika kuona picha alizopiga msichana huyo mtandaoni wameeleza kwamba, kwa mtoto wa kiislam aliyekamilika hawezi kufikia hatua ya kupiga picha huku akiwa ameacha wazi sehemu zake nyeti.
Katika picha hizo (baadhi zipo ukurasa wa mbele) Mange anaonekana akiwa amemkumbatia ?mtasha? mmoja huku akiwa amevalia kipensi kilichoacha wazi mapaja yake.
Aidha, binti huyo anadaiwa kufumwa akiliwa denda hadharani na mtoto kigogo (jina kapuni) hali iliyowafanya wadau wengi wa masuala ya urembo kumchukulia kwamba binti huyo ni fuska.
Hata hivyo, gazeti hili lilifanya jitihada za kumtafuta Mange ili kuzungumzia maelezo yake ya kwamba yeye ni binti wa kiislamu wakati anakwenda kinyume na maadili ya dini hiyo lakini mpaka tunakwenda mtamboni jitihada hizo hazikuweza kuzaa matunda.
Swali: Haya yote yanahusiana vipi na tuhuma zake dhidi ya Wakili wa IMMMA kumdhalilisha?