PDA

View Full Version : Mwakyembe Vs Rostam

mwanakijiji
03-30-2009, 04:59 PM
Sakata hili bado linaonekana kuwiva.. nani ataibuka mshindi!?

dRU
03-30-2009, 06:21 PM
Mwanakijiji umesahau kwamba wapiganapo fahari wawili zimiazo ni nyasi!!:confused: Ona Mhe. Mwakyembe kapokelwa kishujaa kule jimboni kwake!! Sasa sijui nao wa upande wa Mhe. Rostam watalipa mapigo?? Na haya yote ni kwa fahari ama manufaa ya nani?? Bado kazi ipo tena kubwa sana!!!

mwanakijiji
03-30-2009, 07:10 PM
Lakini wanachogombea hasa ni nini? Kwanini mjadala huu hauendi Bungeni ili tusikie kinachosemwa... ?

dickabudi
03-31-2009, 04:25 PM
Hii ya Mwakyembe na Rostam haina mvuto tena hata wenye Chama wameshakemea hutamsikia Mwakyembe wala Rostam tena wakitambiana

Mwanakijiji turudi kwenye hoja za wenye kupendakuhodhi madaraka, kama ulivyoona kwenye television Mtu amejaza fomu tu mizengwe anayowekewa na wengine kusakata rhumba kufurahia makomandoo wanapozuia fomu za kugombea uenyekiti wa taifa zisipokelewe hatutengenezi mafisadi wengine???? siku wakipewa Urais si udikteta mwingine huo?? watawalipa nini wanaowasimamia kuhakikisha nafasi hizo haziendi kwingine???

mwanakijiji
03-31-2009, 04:35 PM

Natumaini hilo la Mwakyembe/Rostam litakuwa limefikia mwisho. Ila TLP sijui nako kuna nini?