PDA

View Full Version : Ninajikaribisha mwenyewe

mwafrika wa kike
11-11-2008, 09:03 PM
Ninajikaribisha mwenyewe hapa maana muda wa kusubiri kukaribishwa unazidi umuhimu wa kuwa hapa.

Asante wenyeji kwa kazi nzuri ya kutengeneza nyumba hii.

mwanakijiji
11-11-2008, 09:29 PM
Bi. Mdogo kwako hapa hata hodi huhitaji kupiga.. karibu sana habari za toka majuzi... Nadhani wengine bado wanasita sita kubisha hodi hawajui kuwa na hapa ni ka' kwa baba mkubwa hivi ni kwao pia!!

Kepa
11-11-2008, 10:06 PM
Ninajikaribisha mwenyewe hapa maana muda wa kusubiri kukaribishwa unazidi umuhimu wa kuwa hapa.

Asante wenyeji kwa kazi nzuri ya kutengeneza nyumba hii.

Usijali Mwanamke wa Kiafrika, samahani kama nimekosea jina. Unakaribishwa sana sana, tena hata baada ya kujikaribisha pia tunafurahi kukukaribisha wenyeji wako. Wewe ndo unafaa sana hapa ni mwendo kasi tu!!

Mpita Njia
11-12-2008, 01:59 PM
Karibu sana na machachandu yako

mwafrika wa kike
11-24-2008, 09:21 PM
Bi. Mdogo kwako hapa hata hodi huhitaji kupiga.. karibu sana habari za toka majuzi... Nadhani wengine bado wanasita sita kubisha hodi hawajui kuwa na hapa ni ka' kwa baba mkubwa hivi ni kwao pia!!

Asante sana Mwanakijiji...

Nashukuru pia na wengine mlionikaribisha...kepa na mpitanjia

Kepa
11-25-2008, 01:20 AM
Asante sana Mwanakijiji...

Nashukuru pia na wengine mlionikaribisha...kepa na mpitanjia

My pleasure!!

Ricardo Roche
09-02-2009, 03:02 PM
ni furaha kwetu wanakijiji wote kkwa kupata mgeni mwafrika wa kike. waonekana umejaa mawazo na fikra nyingi za kimaendeleo yanayohitajika kwenye kijiji chetu karibu sana. tuletee mawazo ya hekima, kosoa kila anayekosea katika kijiji, hakikisha unachukiwa na mafisadi wote kwa ulimi wako mkali unaochoma. tunakupenda sana. KARIBU SANA