PDA

View Full Version : Breaking News: Jeetu Patel akamatwa

mwanakijiji
11-05-2008, 04:42 PM
Mmojawapo ya watuhumiwa wa wizi wa fedha za EPA na ambaye amehusishwa na masuala mbalimbali ya kifisadi Bw. Jeetu Patel amekamatwa.

Desert Eagle
11-05-2008, 06:47 PM
so wako rumande au wamepewa zamana??

haki ya nani hawastahili hata dhamana

(new move mwanakjj)!!! good son,

mwanakijiji
11-06-2008, 12:28 AM
Asante sana ndio tumeanza mwendo mpya kuelekea mabadiliko ya kweli!

Ach-F
11-06-2008, 12:45 AM
Jakaya Kikwete should as well take action to convict former president Ben Mkapa and Edward Lowasa for their actions which costed our country dearly in revenue. If he thinks he can cheat us by just taking few indians here and there he's lost, the time is up right now.

Ach-F
11-06-2008, 12:58 AM
http://www.globalpublisherstz.com/uploads/posts/thumbs/1225891004_mafisadi.jpg

http://www.globalpublisherstz.com/uploads/posts/thumbs/1225891004_mafisadi_1.jpg

Wahujumu wa uchumi hawa.

Desert Eagle
11-06-2008, 02:22 AM
Bado napata kigugumizi kama kweli hao ndio mafisadi,,,nadhani kuna haja ya kukasambaza tena kale ka orodha ka mafisadi na pia ile personal messege from Jeetu Patel iliyowataja kina Mkapa, Mkono maleale na wengine naona kama wameamua kuficha uchafu wao kwa kuwaanika wahindi na watoto wadogo kama kina Lukazaa

cute
11-06-2008, 02:56 PM

Mbona huyo dem hana hata chembe ya uoga, macho makavu hata wasi wasi hana, mmh

mwanakijiji
11-06-2008, 04:45 PM
Mbona huyo dem hana hata chembe ya uoga, macho makavu hata wasi wasi hana, mmh

mmh.. labda ana sababu ya kutokuwa mwoga, si unajua wakati mwingine mechi ikishakuwa imepangwa na refa yuko mfukoni, una wasiwasi gani kuingia uwanjani?

Ach-F
11-23-2008, 12:50 PM
Hii kesi itaendele kutambaa hadi uchaguzi wa 2010. Kama serikali ilikuwa na nia ya kuwachukulia hatua wezi wa pesa hizi ingechagua mahakimu maalumu na kusikiliza kesi hii tu ambayo ni muhimu na kutoa fundisho kwa wale wanaofikiri Tanzania ni mahali pa kuja na kufilisi mali isiyo na wenyewe.