View Full Version : Unatafuta nini?
mwanakijiji
04-03-2009, 02:45 AM
Inawezekana umekuwa ukitafuta programu fulani na hujafanikiwa. Tuulize kama tunayo tutakudokeza na kuweka link wapi ukaipate. Tunajua baadhi ya programu ni ngumu sana kuzipata na ni za gharama. Kwa ushirikiano na baadhi ya wadau tutajaribu kuwaletea programu ambazo ni vigumu kuzipata au zenye gharama kubwa kwa Mtanzania wa kawaida.
Akajase
04-03-2009, 06:14 PM
mkuu, bado sijakupata vizuri. "Programu" unayomaanisha ni ipi? Je ni kozi fulani ya kimasomo au ni "soft opy" itakayoniwezesha kuyaendesha vyeme mabo yanayohusiana na teknohama?
mwanakijiji
04-03-2009, 11:28 PM
mkuu, bado sijakupata vizuri. "Programu" unayomaanisha ni ipi? Je ni kozi fulani ya kimasomo au ni "soft opy" itakayoniwezesha kuyaendesha vyeme mabo yanayohusiana na teknohama?
Ni hilo la pili. Yaani software ambazo mtu amekkuwa akitafuta na hajapata.
Inawezekana umekuwa ukitafuta programu fulani na hujafanikiwa. Tuulize kama tunayo tutakudokeza na kuweka link wapi ukaipate. Tunajua baadhi ya programu ni ngumu sana kuzipata na ni za gharama. Kwa ushirikiano na baadhi ya wadau tutajaribu kuwaletea programu ambazo ni vigumu kuzipata au zenye gharama kubwa kwa Mtanzania wa kawaida.
Mwanakijiji najitolea kuchangia (Bureeeeee!!) maana kidogo nina hazina ya kutosha:cool:
Mpita Njia
04-04-2009, 02:57 PM
Mimi sitafuti programme, natafuta antivirus
mwanakijiji
04-05-2009, 05:42 AM
Mwanakijiji najitolea kuchangia (Bureeeeee!!) maana kidogo nina hazina ya kutosha:cool:
Karibu weka thread tu na waelekeze watu jinsi ya kupata hiyo programu.
Nahitaji sana Accounting packages zifuatazo;
-Tally
-Myob(mind your own business)
-Quickbook
-Sun
mwanakijiji
04-09-2009, 10:01 PM
sawa 911.. nadhani kuanzia siku hizi mbili tatu nitaanza kuwawekea vitu kwa hiyo kaeni mbele ya TV zenu.. mkisubiri vitu!

Mwanakijiji: (zzzzz....)
911: grrrrr....
Daywell
05-02-2009, 01:23 PM
Jamani nikwamueni naomba link za antivirus mzuri!
kanuya
07-31-2009, 06:18 PM
Hi!!!
Habari za jioni! Ninatafuta programu ya kusoma maandishi yaliyopo kwenye computer kwa ajili ya wasioona(vipofu) kama kuna mwenye nayo au linki ya jinsi ya kuipata ninaomba anisaidie ili niweze kumpa rafiki yangu ambaye ni kipofu (asiyeona) imsaidie katika masomo yake pale chuo kikuu mlimani.
Ahsante.
Daywell
04-06-2010, 09:21 PM
pata kutoka hapahttp://www.brothersoft.com/antivirus
MAHESABU
09-19-2010, 09:51 AM
mbona thread/uzi umekatika ghafla
Ach-F
08-16-2011, 08:19 PM
Inawezekana umekuwa ukitafuta programu fulani na hujafanikiwa. Tuulize kama tunayo tutakudokeza na kuweka link wapi ukaipate. Tunajua baadhi ya programu ni ngumu sana kuzipata na ni za gharama. Kwa ushirikiano na baadhi ya wadau tutajaribu kuwaletea programu ambazo ni vigumu kuzipata au zenye gharama kubwa kwa Mtanzania wa kawaida.
Mkuu sasa naona ni wakati wa kujifufua au vipi?
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.