PDA

View Full Version : Kijana mvivu!



911
04-03-2009, 12:39 PM
Uvivu kama huu ni noma!

Kijana: Baba naomba glasi moja ya maji ya kunywa

Baba: Si uchukue mwenyewe kichaa nini! Kijana: jamani si nimekuomba lakini..

Baba: Ukisema tena ntakuja kukuzaba kibao

Kijana: Basi ukija kunizaba kibao uje na maji ya kunywa pia!

ponda
04-07-2009, 04:00 PM
Teheeeee kwiwi kwi mitoto ya siku hizo