PDA

View Full Version : Jamani "Mymore"

mwanakijiji
04-04-2009, 08:11 AM
Jamani nimemmiss mymore.. umepotelea wapi?

Mpita Njia
04-04-2009, 02:37 PM
Si masika haya! labda yuko busy na shughuli za shamba. Anyway, naamini amesikia kilio chako na atajitokeza karibuni

My more
05-23-2009, 08:29 AM
kweli masika yana mambo.

Nimerudi. kwema hapa jamani? wakiJJ asante kwa kunikumbuka

mwanakijiji
05-24-2009, 12:40 AM
Mmh.. namna hii kweli mtu unaweza kufikiria umetalikiwa hivi hivi.. haya ndiyo kwenda kwa wazazi ukaamua kuhamia? Sasa nitafanya nini na huyu "msaidizi" aliyekuja kunisaidia kwa muda huu uliokuwa haupo!

Matigari
08-28-2009, 09:07 AM
Mmh.. namna hii kweli mtu unaweza kufikiria umetalikiwa hivi hivi.. haya ndiyo kwenda kwa wazazi ukaamua kuhamia? Sasa nitafanya nini na huyu "msaidizi" aliyekuja kunisaidia kwa muda huu uliokuwa haupo!

Mhh, sidhani kama ulikuwa na ruhusa ya kuleta msaidizi. Ndugu yangu mbona unajichongea? Mwambie msaidizi kuwa muda wake wa kusaidia umepita, mwenyewe amerudi asogee pembeni.

siku njema.

duru langu
02-05-2010, 05:19 PM
Mmh.. namna hii kweli mtu unaweza kufikiria umetalikiwa hivi hivi.. haya ndiyo kwenda kwa wazazi ukaamua kuhamia? Sasa nitafanya nini na huyu "msaidizi" aliyekuja kunisaidia kwa muda huu uliokuwa haupo!

Ona sasa mambo ya kuleta wasaidizi. Ndio umemfukuza
kabisaa Mymore! Poleee

My more
05-20-2010, 03:07 PM
Wee sijapotea wala sijakimbia nimerudi na speed ya kurusha ndege:cool:

Wazima lakini? Duru haya tamka nikusikie