View Full Version : Msaada tafadhali
outlier
04-05-2009, 09:21 AM
Wanakijiji, kwema hapa?
Naomba msaada kwa wenye ujuzi wa hili. Niliweka picha zangu kwenye CD, siku nyingi zilizopita. Leo nimejaribu kuzifungua hazifunguki. Nimejaribu, na kujaribu na kujaribu, wapi. Utaalam umeniishia- kila nikijaribu kufungua inagoma (kinatokea kile kikombe cha search/working, niki-click inagoma kabisa- program not responding), mara nyingine program zote zagoma hata internet inabidi nifunge kila kitu na kuanza upya.
Na hizi picha ni kumbukumbu muhimu we acha tu.
Asanteni.
Hi Outlier, tafadhali fafanua ni lipi tatizo maana hapa kidogo ninapata shida ya kuelewa kwamba ni OS (Windows ama any other OS) unayayotumia ndiyo yenye matatizo ama tatizo ni programu ambayo unatumia kusomea hizo picha ama pengine tatizo lipo kwenye CD drive au CD yenyewe ina mikwaruzo mingi. Nina hakika pana ufumbuzi hapa na wala hizo picha zako hazitapotea nipe mwanga zaidi niweze kukupatia darasa kiduuchu!!
outlier
04-05-2009, 06:17 PM

Tatizo ni kwamba CD haifunguki natumia Windows XP, kila nikiiweka CD na kujaribu kuifungua picha ama ma-file hayafunguki napata message program not responding, hivyo kwa uelewa wangu sijui kama tatizo ni CD ama Computer; lakini nahisi ni CD kwani nikiweka CD zingine zinafunguka kama kawaida. Nahisi umenipata sasa?

Nimekupata Outlier, tafadhali tembelea maeneo haya yafuatayo ninaweka na comments za possible variation for your solution as it worked to others 100%
1- IsoPuzzle 1.7 beta - IsoPuzzle is by far the best software to recover data from damaged DVD, I tried the software on my old scratched CD and it worked. According to sources, it does not guarantee 100% recovery success rate, no harm trying. (http://www.geocities.com/marsoupilamis/DocEnglish.htm)
2- CD Recovery Toolbox - CD Recovery Toolbox was developed for recovering damaged files from different disk types: CD, DVD, HD DVD, Blu-Ray, etc. Use it to restore and recover information lost as a consequence of some mechanical damage of the disk such as surface scratches, chips, different spots on the surface or as a result of incorrect recording on the boot sector. Thus, the program can recover data from CD and DVD that was considered lost or unreadable by the DVD drive. This is another good damaged DVD data recovery tool. Depending on the level of damage, the recovery progression may consume a slightly long time, on certain cases; the files might not be recoverable. (http://www.oemailrecovery.com/cd_recovery.html)
3- CD Check - Yet another DVD data recovery, CDCheck is a utility for the prevention, detection and recovery of damaged files on CD-ROMs with an emphasis on error detection. With CDCheck you can check your CDs and discover which files are corrupted that might affect the readability of the disk. Prevention is better than cure. (http://www.kvipu.com/CDCheck/)
All the best:)
outlier
04-07-2009, 07:30 AM

Asante kwa msaada ingawa hakuna iliyonisaidia.
Ya pili ilinipa matumaini kidogo eventually ikagoma.
Nitawaona wataalam wanisaidie perhaps.
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.