PDA

View Full Version : Hodiiiiiiii kijijini



junius
04-10-2009, 05:54 PM
Wapendwa wanakijii nawasalimu naomba kubarizi nanyi kijijini

Ach-F
04-10-2009, 09:15 PM
Junius karibu, umeleta nini mkuu? Hiki kijiji kina kila aina ya chakula karibu sana tulime maana njaa imeingia na mafisadi wanajipanga kuleta wanachodai stimulus sijui ni ya kuwastimulate waendelee lutukaba koo!.