PDA

View Full Version : Ahadi Za CCM



Dua
04-13-2009, 10:20 PM
http://img89.imageshack.us/img89/6395/image007n.jpg


Kunjeni suruali na gauni mvuke


http://img89.imageshack.us/img89/2505/image008p.jpg


Kaka leo hatoki mtu hapa.


http://img89.imageshack.us/img89/7641/image009d.jpg


Magari yamejaa maji kichizi ndio bongo yetu hii.





Hii ndio Tanzania yenye neema ati mvua ikinyesha lazima kuwe na mafuriko katika karne ya 21.

Dua
04-13-2009, 10:22 PM
http://img89.imageshack.us/img89/1346/image010t.jpg


http://img139.imageshack.us/img139/9797/image011svf.jpg


Nafikiri tunahitaji Stimulus package kutoka kwa nani hii.

Ach-F
04-18-2009, 12:25 PM
Ahadi kuu ya kutafuna pesa ya walipa kodi bila huruma.