mwanakijiji
04-22-2009, 03:53 AM
hali hii huwa inajirudia wakati wa siku kuu zozote kubwa za kidini. Picha hizi ni kutoka kwa Mroki (http://mrokim.blogspot.com) za siku ya ya Pasaka iliyopita. Wakati wa Dar ambao wamezoea kinyaa wanaendelea kuwachagua watu wale wale ambao wameshindwa kutafuta suluhisho la ukosefu wa maeneo ya kupumzika lakini maeneo ya mahoteli ya kitalii yanapatikana kwa urahisi!
Nimechambua hili katika makala yangu mojawapo ya kesho nadhani iko Tanzania Daima au MwanaHalisi.
http://www.mwanakijiji.com/images/stories/habari/other/cocobeach.jpg
http://www.mwanakijiji.com/images/stories/habari/other/cocobeach2.jpg