pangamawe
04-24-2009, 08:21 AM
Nampongeza sana Mzee Mengi kwa ujasiri na uzalendo wa hali ya juu alioonyesha. Katika hali ya kawaida mtu kama Mengi ambaye kajaliwa uwezo asingehangaika na kuingia katika mizozo na matajiri wenzie wanaoendesha ufisadi lakini uzalendo na upendo kwa ndugu zake watanzania unamsukuma kutokaa kimya. Jana Mengi kafanya jambo la kihistoria kwa kutaja hadharani mafisadi ambao wamekuwa wakiitafuna nchi kwa muda mrefu huku wakilindwa na kuungwa mkono na serikali iliyopo madarakani na chama cha mapinduzi- CCM.
Niliwahi kuandika huko nyuma kwamba ni lazima hawa mafisadi tuwaonyeshe kuwa tunakerwa na mambo yao na sasa tumechoka, Mengi kaonyesha njia wengine tufanye lolote linalowezekana ikiwemo kuhujumu mali zao walizochuma kifisadi na hata hujuma kwa maisha yao maana hata wao hawana huruma na sisi wanatuona kama nguruwe pori tu. Tumeshasikia maovu mengi ya watu hawa sasa kilichobaki ni kushughulika nao. Heko Mengi.