PDA

View Full Version : Unyonyaji bado upo?



mwanakijiji
05-06-2009, 11:36 PM
Nimekaa kujiuliza kama unyonyaji bado upo; yaani mtu mmoja kufaidika kwa jasho la wengine! Yaani, ule tulioupinga kwa kutangaza Azimio la Arusha.. Hivi leo bado wapo wanyonyaji kati yetu au unyonyaji na wenyewe uliondoka baada ya kuingia rasmi katika ubepari?