PDA

View Full Version : asanteni wanakijiji



mnyilula
05-07-2009, 12:25 PM
natanguliza shukrani zangu kwa wanakijiji kwa kunikubalia kujiunga kijijini.
nategemea kufurahia uwepo wangu kijijini.

QUTE
05-07-2009, 06:14 PM
Karibu sana mnyilula. bahati mbaya mwaka huu mvua zimekataa kabisa hatukupata hata mahindi ya kuchoma, lakini usijali kuna karanga tulizovuna mwaka jana unaweza ukaanza kutafunatafuna wakati tunaandaa chochote

mwanakijiji
05-07-2009, 10:04 PM
natanguliza shukrani zangu kwa wanakijiji kwa kunikubalia kujiunga kijijini.
nategemea kufurahia uwepo wangu kijijini.

karibu kabisa kijijini, kuna mahindi ya kuchoma, magimbi ya kuchemsha na dagaa wa kukaanga... karibu!

mnyilula
05-09-2009, 12:37 PM
asanteni kwa makaribisho yalojaa mashamsham ya kijijini kwetu hasa mahindi ya kuchoma ambako kwetu ilula-iringa ndio kwenyewe haswaaaa,
ila kwa hapa kijijini napata full dose kuazia siasa mpaka burudani,
shukrani kwa founder wa kijiji