PDA

View Full Version : Uongozi na Maendeleo - Sauti toka Ahera



mwanakijiji
05-08-2009, 09:00 AM
http://www.mwanakijiji.com/images/stories/habari/gallery/nyerere.jpg

Ningeweza kukuambia alichosema na kukuandikia alichotaka kusema but then sitakutendea haki; bora usikilize mwenyewe.
CLICK HERE TO LISTEN (http://www.box.net/shared/uclc81ep1h)

outlier
05-08-2009, 11:12 AM
Duh, mzee wewe ni mchawi!
Keep it up!

geofrey mushema
10-14-2009, 07:43 PM
Mkuu mimi huwa nakubali sana mikakati na mipango yako juu ya ukombozi wa taifa letu ili hatimae siku moja tupate uhuru kamili.nakuomba uendelee hivyo mzalendo sisi sio tu kwamba tupo nyuma yako bali tupo bega kwa bega pamoja nawe.Mungu aendelee kukutia nguvu

Dua
10-16-2009, 11:31 PM
Hapo umewagonga CCM. Niliona hata Vifisadi dagaa vikiandamana. Bado wanafikiria wataokoka kwenye ukoma walioukwea.