View Full Version : Sasa inakuwaje kuhusu mabomu dar?
Ngilenengo
05-15-2009, 11:30 AM
Mabomu yanayolipuka dar kwani hayajulikani yalipo?. Kwa nini kutafutwa kwa satelite? Mimi sijaelewa. Yaani Serikali wanatenga fedha kusaka mabomu? Kwani yako wapi? . Au ndo fedha za uchaguzi hizo.?
Mwenye ufahamu anifahamishe tafadhali hili la satelite na Mabomu yanayolipuka dar.
flein
05-15-2009, 06:45 PM
Kwa kweli ni ngumu kusema japo inaonekana ni mwanya kwa CCM maana hawa jamaa ndo vitu kama hivi wao wanakula. Ila mimi naamini huenda ule mlipuko ulirusha mabomu mengine hovyo hivyo kufanya yatafutwe na kulipuliwa, au huenda wanakagua mabomu katika ghala nyingine ambazo hazikuharibika ila wanagundua hayafai kukaa muda mrefu wanaamua kuyalipua.
Kwa ukweli ni ngumu kuieleza hii ila ni kweli kwa CCM ni mwanya mzuri kabisa, mtakuja kugundua baada ya uchaguzi 2011
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.