PDA

View Full Version : Ttcl ni shamba linalohujumiwa na wenye hissa

Jayfour_king
05-18-2009, 10:13 PM
Pengine ni story inayo chosha kwa sasa kuendelea kusikiliza hababari za kampuni kongwe ya mawasiliano nchini na ndiye muhimili wa mawasiliano ya kweli katika nyanja zote za mawasiliano.

Tukiwa kama wadau na hasa wananchi wa nchi hii ambao tuna historia na machungu na nchi yetu na hii inatokana na uwepo wa viongozi wasio waaminifu wala waadilifu likiwa na zao la utawala wa mzee Ruksa maarufu kama 'azimio la Zanzibar'.

Hapa waweza kurejea mifano michache tu kwa mfano mwenyekiti wa bunge ( Pius Msekwa ) kuwa pia mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa Vodacom. Hapa waweza kuona mtu mwenye maslahi binafsi anaweza kutenda haki katika maamuzi wakati muswada wa kupitisha maendeleo ya kampuni ya umma TTCL?

Mfano mwingine utaupata kwa kuangalia kiambatanisho hiki ambacho ndio ulikuwa mkataba kati ya serikali na Celtel International kama ulivyotolewa na katibu mkuu wizara ya mawasiliano na uchukuzi wakati huo Bwana Msoma.

Bongo...sanaa tupu.

mwanakijiji
05-22-2009, 08:09 PM

Hicho kiambatanisho tunasubiri kwa hamu!