View Full Version : Angels & Demons
Mpita Njia
05-19-2009, 08:05 PM
Ni filamu iliyonifurahisha na kuniburudisha sana. Niliposoma novel ya Dan Brown nikawa nina hamu ya kuiona hii filamu nione jinsi ambavyo itakuwa imetengenezwa kama italingana na mtororoko wa hadithi kwenye novel. Lakini imekuwa ni tofauti sana ingawa matukio ni yaleyale lakini kuna vitu kadhaa vimekuwa omited kwenye vilamu ambavyo vimo kwenye novel.
Lakini kikubwa kinachonifanya niipende ni hadithi yenyewe kwani inamfanya mtu (hasa mkristo) kufikiri sana kuhusu imani yake.
Kama ukiweza, nakualika kuiangalia, ninaamini kuwa hautajilaumu
outlier
05-20-2009, 02:11 AM

Mimi pia nimeikubali. Na this time naona haiko provocative kama ilivyokuwa the da vinci code.
Kuna movie nyingine next week yatoka nadhani itakuwa bomba vile vile - the girlfriend experience.
cheers!
Mpita Njia
05-20-2009, 07:51 PM
Kuna movie nyingine next week yatoka nadhani itakuwa bomba vile vile - the girlfriend experience.
cheers!
Inatoka lini hiyo... naisubiri kwa hamu
outlier
05-20-2009, 09:23 PM
Inatoka lini hiyo... naisubiri kwa hamu
Nilichemsha, itakuwa in theaters baadaye sana; ila waweza kuingalia kwa "video on demand" kwenye amazon.com
mwanakijiji
05-21-2009, 12:52 AM
Mimi naenda kuangalia hiyo Angels and Demons wikiendi hii. Sikupenda sana ile ya Da Vinci. We will see.
serengetibaridi
06-11-2009, 11:55 AM
Mimi zote zimenifurahisha Engels&Demons pamoja na Da Vinci Code. Kwa kweli Tom hanks ni actor kiboko. Mnakumbuka Terminal na Saving Private Ryan
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.