View Full Version : Elim ya kitanzania
Wambandwa
05-23-2009, 07:34 PM
Hivi elimu ya kitanzania, kuanzia shule za msingi, secondary (za kata pia), vyuo hadi vyuo vikuu inamtayarisha mwanafunzi kuweza kushindana na kuingia kwenye soko la ajira ya kitanzania?
Nimekutana na mchagga anendesha daladala la Kimara Posta; anadai ana digrii ya uhandisi wa meme (education). Kulikoni asiende kufundisha hao wadogo zake?
Matigari
04-16-2010, 06:40 PM
Tatizo ni kuwa nikifundisha nalipwa pesa amabazo nikitumia zinakwisha within five day of earning my monthly salary, but if I drive the daladala I accomplish two things,
First there is always money for food, second if I want to buy a big item, I only have to work overtime to buy the big item ( TV, Refrigerators, radio and paying my children's school fees) you know it is about being able to pay bills and not prestige
So the problem is not really the education or lack of it, but the fact that there is no correspondence between the education and the renumeration.
mimi huwa naamini kuwa ile elimu ilikuwa inatutayarisha kupasi mitihani. Huwa nawaambia watoto wanaonihusu kuwa nitafurahi sana ukifaulu mitihani yako, lakini kama unaona huwezi kufaulu niambie unataka taaluma gani ambayo itakusaidia katika maisha, nikutayarishe ukaifanye.
Kama unataka kusuka nywele, niambie nikupeleke shule ya mapodozi ili uwe mtaalamu mzuri wa kusuka na kukata nywele, kuapply makeup, kukata kucha kusugua miguu etc. Kazi ni kazi bora mkono uende kinywani. Kama unataka tutakutayarisha kuwa mjenzi, itabidi uanzie kujua kufyatua matofari, kuyachoma ( kama yanahitaji kuchomwa na kujua lipi linahitaji kuchomwa lipi halihitaji, je unaweza pia kutengeneza vigae? etc
Siyo lazima wote tuwe na Phd.
MAHESABU
09-21-2010, 01:11 AM
ITS TRUE BROTHERS.....elimu yetu ituandae zaidi kujitegemea kuliko kutegemea......na tubuni namna ya kuishi kwa zaidi ya ajira moja...hapo elimu yetu itakuwa na manufaa zaidi
Max Shimba
12-29-2010, 12:58 AM
Naona digirii sasa zinaendesha daladala kama ughaibuni ambavyo digirii zinavyo wafanya watu kuwa walinzi na waendesha teksi. Kweli elimu tegemezi si jambo bora kwa mwanadamu.
Ni vema wakaanza kufundisha jinsi ya watu kuto kuwa tegemezi kwa ajira na kuwafunza kuwa watengeneza ajira kama wale Wataiwan walivyo fanyaga miaka ya mwanzoni mwa 80. Lakini kwa jinsi tuliyvo lelewa na Jakaya na kundi lake, kuwa na viwanda mama bado ni ndoto za mwendawazimu.
Poleni sana Wadanganyika, maana bado mtadangwa nyie mpaka atakapo rudi allah.
Max Shimba
12-29-2010, 12:59 AM

Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.