View Full Version : Fashion ya ndoa dar es salaam
Desert Eagle
11-05-2008, 06:15 PM
Hivi watu mwaka huu ni mashindano ya kuoana? Au kwa vile marafiki zangu wengi wamechukuana mwaka huu?? yaani nashindwa kuelewa kabisa na card za michango ya harusi ndio hizo zinazidi kumiminika kwangu.
TAMKO:
- Sio vizuri binadam wa dunia hii kupitwa na fashion, so kupitia kijijini hapa,
natangaza tenda ya wazi na nina karibisha wazabuni (Wanaotaka kutengeneza
uhusiano) kutoka popote duniani.
Mashart:
-Wawe ni wanawake (wasichana) wa kitanzania walio sehem yoyote duniani.
Kabla ya kuamua maswala ya ndoa uhusiano utakua wa mwaka mmoja kwa
njia ya mawasiliano provided umbali utakao kuwepo ili kuruhusu wataalam kupitia
maombi ya wazabuni wakati mawasiliano yanaendelea.
-Umri, shape, kabila, rangi, elim wala kigezo kingine mimi kama MKANDARASI
angalia kabisa hususani mzabuni ataeonyesha njia na ari ya kutengezeza
uhusiano na mie.
Malengo
-Kutengeneza uhusiano utaozaa ndoa
-Kuweka histoia ya milele ya kijiji (mwanakijiji.com)
-Kukimbizana na fashion hii ya ndoa
Mazingira ya Kazi (Hobby Zangu)
(i) Mziki
(ii) Basketball
(iii) Movies
(iv) Kutoka kwa kinywaji na matembezi
(v) Kukaa online na kuchart na marafiki
(vi) Nyingine siwezi itaja lakini nadhani mnanielewa nimemaanisha nini.
TENDER IKO WAZI KUANZIA TAREHE 5/10/2008,
Wa'salaaaaaam ni mimi the one and only,
Desert Eagle
Desert Eagle
11-06-2008, 01:24 AM
Jamani mbona kimya?? tender iko wazi teyari

cute is here and she is very cute by the way.
Desert Eagle
11-07-2008, 02:01 PM
cute is here and she is very cute by the way.
Safi cute n real seems ur cute, so wats up??
Jamani mbona kimya?? tender iko wazi teyari
Tenda hii haina deal, malengo yake hayajakaa kwenye msari, Angalie msijeingia kichwa kichwakichwa. mmeambiwa ni fashion IoI
KK
Desert Eagle
11-09-2008, 03:13 PM
Tenda hii haina deal, malengo yake hayajakaa kwenye msari, Angalie msijeingia kichwa kichwakichwa. mmeambiwa ni fashion IoI
KK
Acha kunibania bwana mkubwa,, ni katika kujuana na kujenga network tu mengine ni matokeo tu au sio???

Tatizo umejinyonga mwenyewe kijana wangu , hapo kwenye malengo ndo umeharibu eti moja ya malengo ni kwamba unakimbizana na hii fashion ya ndoa I hope warembo hapo hawatosoma between the lines and LIONS.
Kaza mwendo utafika tu!!
mwanakijiji
11-10-2008, 07:41 AM
sasa mambo ya "email ya kwanza iambatane na picha" hayamo tena..?
Desert Eagle
11-10-2008, 08:34 PM
Tatizo umejinyonga mwenyewe kijana wangu , hapo kwenye malengo ndo umeharibu eti moja ya malengo ni kwamba unakimbizana na hii fashion ya ndoa I hope warembo hapo hawatosoma between the lines and LIONS.
Kaza mwendo utafika tu!!
Hayo mengine ni mazungumzo baada ya habari, lakini habari yenyewe ni kwamba natafuta.......................................... ......... ndio hivyo na sikati tamaa maana dalili za mvua ni mawingu hasa yanayo ambatana na ngurumo za radi,,,,,
Desert Eagle
11-10-2008, 08:36 PM
sasa mambo ya "email ya kwanza iambatane na picha" hayamo tena..?
Hiyo naogopa itawa bias baadhi ya wajumbe ambao hua hawajiamini na ndio maana sura i dont care anymore maana "mungu hakupi vyote, alie mzuri sidhani kama anakua na creteria za kuoa hasa hiki kizazi changu cha bongo flava

Sasa umeanza kuwa makini, Safi kijana mwendo mzuri!
My more
11-29-2008, 11:10 PM
Hivi watu mwaka huu ni mashindano ya kuoana? Au kwa vile marafiki zangu wengi wamechukuana mwaka huu?? yaani nashindwa kuelewa kabisa na card za michango ya harusi ndio hizo zinazidi kumiminika kwangu.
TAMKO:
- Sio vizuri binadam wa dunia hii kupitwa na fashion, so kupitia kijijini hapa,
natangaza tenda ya wazi na nina karibisha wazabuni (Wanaotaka kutengeneza
uhusiano) kutoka popote duniani.
Mashart:
-Wawe ni wanawake (wasichana) wa kitanzania walio sehem yoyote duniani.
Kabla ya kuamua maswala ya ndoa uhusiano utakua wa mwaka mmoja kwa
njia ya mawasiliano provided umbali utakao kuwepo ili kuruhusu wataalam kupitia
maombi ya wazabuni wakati mawasiliano yanaendelea.
-Umri, shape, kabila, rangi, elim wala kigezo kingine mimi kama MKANDARASI
angalia kabisa hususani mzabuni ataeonyesha njia na ari ya kutengezeza
uhusiano na mie.
Malengo
-Kutengeneza uhusiano utaozaa ndoa
-Kuweka histoia ya milele ya kijiji (mwanakijiji.com)
-Kukimbizana na fashion hii ya ndoa
Mazingira ya Kazi (Hobby Zangu)
(i) Mziki
(ii) Basketball
(iii) Movies
(iv) Kutoka kwa kinywaji na matembezi
(v) Kukaa online na kuchart na marafiki
(vi) Nyingine siwezi itaja lakini nadhani mnanielewa nimemaanisha nini.
TENDER IKO WAZI KUANZIA TAREHE 5/10/2008,
Wa'salaaaaaam ni mimi the one and only,
Desert Eagle
Hee mambo hayo!!!!..... Vipi kaka ushafanikiwa ee???;)
duru langu
11-30-2008, 02:04 AM
Vuta subira kama lilivyo jina lako "Eagle" utampata tu mwandani.
My more
11-30-2008, 10:01 PM
Vuta subira kama lilivyo jina lako "Eagle" utampata tu mwandani.
Nimekwambia namtaka? Khaaaa:eek:
My more
11-30-2008, 10:08 PM
Hiyo naogopa itawa bias baadhi ya wajumbe ambao hua hawajiamini na ndio maana sura i dont care anymore maana "mungu hakupi vyote, alie mzuri sidhani kama anakua na creteria za kuoa hasa hiki kizazi changu cha bongo flava
Mngekuwa 100 hivi hapa Bongo... mbona raha!!!
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.