View Full Version : Kagoda
Nashukuru, ila nawashangaa wabongo, wanasiasa wanaosema wanatetea ufisadi nk kwani inashindikana nini kuandamana na kuvamia ofisi za wana kagoda jamani, kama wafanyavyo nchi nyingine, anakuwa hakai na amani hapa bongo, 40billion na ushee sio mchezo alafu anatu sanifu kutumia tbc yetu..jamani bongo mpooooooo lakini siku zanasogea moto umeshawashwa....nch waahisani watusadie kama tunadhani eg mafisadi wa kenya hawapati visa wala hawatui washington, uk , etc. Aluta continua!!!!!
DUNDULIZA
05-28-2009, 12:11 PM
Kila jambo lina wakati wake, nakumbuka niliwahi kusoma habari za jaji mstaafu Ujerumani, akiwa na umri wa miaka 86 na kwamba alishastaafu muda mrefu, Alijikuta akiburuzwa mahakamani kwa makosa ya kikazi ya kumuhukumu kunyongwa mtu asiye na hatia kwa makusudi tu. Kumbuka BANDA wa malawi wakati ulipofika aliozea jela mpaka kufa, kagoda watainyamazia hawa viongozi walioolewa na Rostam lakini muda ukifika umefika. Nani alidhani Urusi itaparaganyika? au marekani miaka hii ya sasa itatawaliwa na Black? Basil Mramba ungemwambia serikali aliyoipigia kura, ya chama chake mwenyewe, akiwa bado ni mbunge na ameshaitumikia kama waziri, siku moja itamkaanga mung'anda "KEKO"?
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.