dickabudi
05-28-2009, 03:11 PM
Prof Safari
Alisema CUF itaendelea kupoteza umaarufu kila kukicha kwa sababu uwezo wa kuongoza wa Prof. Lipumba na Katibu Mkuu wake, Maalim Seif Sharif Hamad ulishafikia kikomo
"Pale hakuna kitu... hakuna cha Maalim Seif wala Profesa Lipumba," alisisitiza na kuongeza kwamba wamebaki kusimamisha wagombea kwa ajili ya kushamirisha demokrasia lakini sio kwa ajili ya kushinda."
Mr John Chiligati
"Ni kweli aliyeshika namba mbili (Bw, Max) anafahamika sana hasa kutokana na kujihusisha na biashara ya pamba tofauti na yule mama (Bi. Bukwimba) hata kwenye vikao vyetu tulilijadili sana, tuliamua hivyo kwa kizungu wanasema ku-risk lile jimbo ili kuwasaidia akina mama...unajua ukisaidia akina mama unakuwa umesaidia jamii," alisema Bw.Chiligati.
"Hii si mara ya kwanza kwa CCM kufanya maamuzi ya 'ku-risk' jimbo ilishawahi kufanya hivyo kwa Lucy (Bi. Lucy Msafiri) na Tatu (Bi. Tatu Ntimizi) ambao kwenye kura za maoni kwenye majimbo yao walikuwa wameshika nafasi ya tatu.
"Tunachukua 'risk' kusaidia akina mama lakini wale watakaobainika kujihusisha na rushwa kwenye kura za maoni tutawafikisha mahakamani CCM haina mchezo na hilo hata kama mkakati wetu ni kuongeza idadi ya wanawake kwenye vyombo vya maamuzi," alisema.
Tujadili haya kwa nguvu