PDA

View Full Version : Polisi wa Tanzania: Unawaonaje?

mwanakijiji
05-29-2009, 09:34 AM
Ninajiuliza kama kweli Polisi wetu tunaweza kuwaamini sana kupambana katika mambo ya ufisadi. Hasa jinsi walivyoshughulikia suala la Amina Chifupa, Wangwe, Ungaunga Bungeni, Chenge na sasa Mwakyembe.

Yawezekana wao ni sehemu ya tatizo na siyo sehemu ya suluhisho?

Mpita Njia
05-29-2009, 10:22 AM
Tangu zamani kidogo, nilipomsikia Mrema akiwalalamikia polisi kuwa wapo kwa ajili ya kumshughulikia, na kuona yaliyokuwa yanayokea, nilikata uamuzi kuwa polisi wetu wapo kisiasa zaidi kuliko kutekeleza majukumu yao ya msingi

mwanakijiji
05-29-2009, 08:45 PM

hili ni kwel sana.. na ni vigumu mno kuona jinsi gani tunaweza kuleta weledi katika Jeshi hilo.

H1N1
05-30-2009, 11:28 AM
Tatizo ni uoga na kukosa kujiamini kwa viongozi wengi wa jeshi la polisi,Hili limewafanya watumiwe na wanasiasa kwa namna ambayo wao wenyewe wanawatumia polisi mbwa...hivyo binafsi nashindwa kuelewa iweje kiongozi wa jeshi la polisi anafanya kazi bila mpangilio wa kipolisi anatumikishwa kama mnyama mbwa kwa namna ile wanayo mtumia wao.SIJUI UPSTAIRS KWA VIONGOZI WA POLISI KUKOJE

mwanakijiji
05-30-2009, 07:54 PM

unajua wakati mwingine najiuliza yawezekana kuwa labda kunahitajika mabadiliko makubwa sana ya jeshi la Polisi. Maana jinsi wajengaji hoja wake wanavyoelezea mambo wakati mwingine najiuliza kama kweli tutafika?