PDA

View Full Version : Hodi hodi!



H1N1
05-30-2009, 10:38 AM
Namshukuru sana mkuu MOD.kuniruhusu niwe mmoja wa wale wanaoweza kusoma na kuchangia mijadala ya kijamii hapa Mwanakijiji forums.
Nawashukuru nyote naomba wote mnipokee....

Ahsanteni sana

mwanakijiji
05-30-2009, 07:48 PM
karibu kabisa.. na ujisikie uko kijijini. Tumefurahi kwa kuamua kujumuika nasi katika kulisukuma hili gurudumu la maendeleo..

duru langu
05-30-2009, 10:14 PM
Karibu sana, habari za utokako?