PDA

View Full Version : hodi wenyewe, hodi!...



mbu
05-30-2009, 09:58 PM
...hali zenu wakuu.

duru langu
05-30-2009, 10:11 PM
Sisi hatujambo. Habari za utokako?
Karibu sana jamvini.

mwanakijiji
05-30-2009, 10:50 PM
Sisi hatujambo. Habari za utokako?
Karibu sana jamvini.


DL, kupotea namna hiyo kwa kweil siyo kuzuri.. tumekumiss!

mbu
05-31-2009, 01:26 AM
Sisi hatujambo. Habari za utokako?
Karibu sana jamvini.

...ahsante sana, nimewaacha hawajambo ila kiangazi kimetawala, wakulima wanakula mbegu! Shukran kwa ukaribisho! :)

mwanakijiji
05-31-2009, 02:49 AM
...ahsante sana, nimewaacha hawajambo ila kiangazi kimetawala, wakulima wanakula mbegu! Shukran kwa ukaribisho! :)

karibu maana hapa tunaangalia mbegu zenyewe zisiliwe.. tatizo hatujui nani atazipanda!