PDA

View Full Version : This is Zero from Jamii Forums

Zero
05-31-2009, 11:56 AM
How are you doing all?

My name is Zero na nimetokea kule forum ya jamii. Nimejiunga hapa katika harakati za kutafuta suluhisho la umaskini katika taifa letu. Posts zangu nyingi zitakuwa kule kwenye jukwaa la siasa, maana huko ndio naamini mabadiliko ya kweli yataanzia.

Thank you all!

ponda
06-01-2009, 02:25 PM

Karibu, lakini sioni sababu ya kujitambilisha kuwa unatokea forum fulani, unless unakitu unataka kueleza hapa, any way hawajambo huko ulikotoka? tuchangamshe sasa na siasa zako, hope hutakuwa na muendelezo wa ugomvi wa biashara kwa mgongo wa kutetea ufisadi.