mwanakijiji
11-13-2008, 11:58 PM
Mama ambaye ni mtu ambaye jina lake watu wanalifahamu tukilitaja; anaipenda kazi yake na anajitahidi kweli kuiangalia nyumba yake lakini majukumu ya kazi n.k yanamfanya awe busy muda mrefu na hivyo kulazimu kuwa na msaidizi nyumbani.
Kaenda mkoa fulani ambako rafiki yake alimuunganisha na binti aliyemaliza darasa la saba ili aje kumsaidia kumuangalia Junior na mdogo wake ambao ndio wameanza chekechea tu.
Kabinti kalipokuja kalikuwa kadogo dogo tu lakini mwaka wa kwanza na wa pili kakaanza kuchanuka kama maua. Mama akawa amemuahidi kumtafutia sekondari ya jioni ili ajiendeleze n.k Baba mwanzoni alikuwa hamuangalii namna hiyo hadi siku moja wamegongana wakati binti ametoka bafuni...
Wazo baya likaanza kumuingia Baba fulani, akajaribu kukwepa lakini kwa mawazo yake akawa anaona kuwa mkewe hampi mambo yanavyopasa halafu yuko busy sana kufanya mambo yale ya ujana wao. Siku moja wakati mama amesafiri kwenda Morogoro kikazi jamaa akasema leo ni leo.
Watoto wakiwa wamelala, akamuita yule binti akijifanya kuwa amekunywa akaanza kuka"sumbua" mara "njoo kaa hapa". n.k mwisho akatumia nguvu kukaingia akamuahidi maisha mazuri fedha ya matumizi n.k n.k
Mtumishi akaanza kunawiri na kupendeza zaidi na zaidi.. Mama mwenye nyumba akawa anafikiria ni kukomaa tu; mwisho kikaanza kiburi ndani ya nyumba...
Siku moja ikafika kuwa binti anaanza kuonesha dalili za mimba.. Mama kumuuliza mtoto hataki kusema anataka kurudi kwao... Mama anaamua kumrudisha. Wanakubaliana na mumewe kumrudisha kwao. Baba anasema ameshakata tiketi na kesho yake atampeleka yeye mwenyewe Ubungo kupanda basi...
Kumbe kampangia chumba, maeneo ya Sinza!
Baba ni kiongozi mkubwa serikalini na mama ni mmoja wa wabunge ....
Mtoto kazaliwa picha ya baba!!!