View Full Version : Ufisadi bado upo na Unaendelea
Griffindor
06-09-2009, 10:05 AM
Pamoja na kuwapo kwa kesi za Ufisadi zinazoendelea Mahakamani Bado kuna ufisadi mkubwa unafanyika tena unafanywa na watumishi wa Serikali, ambao kukaa kwao muda mrefu Serikalini kunawapumbaza na kuona kama ofisi hizo ni mali zao na kuzitumia watakavyo.

Ufisadi Tanzania utaisha pale walipa kodi watakapoamua kutowachagua CCM.
Powered by vBulletin™ Version 4.0.2 Copyright © 2012 vBulletin Solutions, Inc. All rights reserved.